Kutoka 4:3 - Swahili Revised Union Version3 Akamwambia, Itupe chini; akaitupa chini, nayo ikawa nyoka; Musa akakimbia kutoka mbele yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Itupe chini.” Mose akaitupa fimbo chini, nayo ikageuka kuwa nyoka! Mose akaikimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Itupe chini.” Mose akaitupa fimbo chini, nayo ikageuka kuwa nyoka! Mose akaikimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Itupe chini.” Mose akaitupa fimbo chini, nayo ikageuka kuwa nyoka! Mose akaikimbia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mwenyezi Mungu akasema, “Itupe chini.” Musa akaitupa fimbo chini, nayo ikawa nyoka, naye akaikimbia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 bwana akasema, “Itupe chini.” Musa akaitupa chini hiyo fimbo nayo ikawa nyoka, naye akaikimbia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Akamwambia, Itupe chini; akaitupa chini, nayo ikawa nyoka; Musa akakimbia kutoka mbele yake. Tazama sura |