Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 4:4 - Swahili Revised Union Version

4 BWANA akamwambia Musa, Nyosha mkono wako, kamshike mkia; (akaunyosha mkono wake akamshika, naye akageuka kuwa fimbo mkononi mwake;)

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nyosha mkono wako, umkamate mkia!” Mose akanyosha mkono wake, akamkamata; nyoka akageuka tena kuwa fimbo mkononi mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nyosha mkono wako, umkamate mkia!” Mose akanyosha mkono wake, akamkamata; nyoka akageuka tena kuwa fimbo mkononi mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nyosha mkono wako, umkamate mkia!” Mose akanyosha mkono wake, akamkamata; nyoka akageuka tena kuwa fimbo mkononi mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia, “Nyoosha mkono wako umkamate kwenye mkia.” Basi Musa akanyoosha mkono akamkamata yule nyoka, naye akabadilika tena kuwa fimbo mkononi mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kisha bwana akamwambia, “Nyoosha mkono wako umkamate mkiani.” Basi Musa akanyoosha mkono akamkamata yule nyoka, naye akabadilika tena kuwa fimbo mkononi mwake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 BWANA akamwambia Musa, Nyosha mkono wako, kamshike mkia; (akaunyosha mkono wake akamshika, naye akageuka kuwa fimbo mkononi mwake;)

Tazama sura Nakili

Kutoka 4:4
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Kiokote. Basi akanyosha mkono, akakitwaa.

Utawakanyaga simba na nyoka, Mwanasimba na joka utawakanyaga kwa miguu.

Akamwambia, Itupe chini; akaitupa chini, nayo ikawa nyoka; Musa akakimbia kutoka mbele yake.

ili kwamba wapate kusadiki ya kwamba BWANA, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amekutokea.

watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kuua, hakitawadhuru kamwe; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapona.

Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.

Mamaye akawaambia watumishi, Lolote atakalowaambia, fanyeni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo