Isaya 47:2 - Swahili Revised Union Version2 Twaa mawe ya kusagia, usage unga; Vua utaji wako, ondoa mavazi yako, Funua mguu wako, pita katika mito ya maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Twaa mawe ya kusagia, usage unga kama mtumwa! Vua utaji wako, ukavue na mavazi yako! Pandishia vazi lako miguuni, ukavuke mito. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Twaa mawe ya kusagia, usage unga kama mtumwa! Vua utaji wako, ukavue na mavazi yako! Pandishia vazi lako miguuni, ukavuke mito. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Twaa mawe ya kusagia, usage unga kama mtumwa! Vua utaji wako, ukavue na mavazi yako! Pandishia vazi lako miguuni, ukavuke mito. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Chukua mawe ya kusagia, usage unga, vua shela yako. Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, vuka vijito kwa shida. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Chukua mawe ya kusagia, usage unga, vua shela yako. Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, vuka vijito kwa shida. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Twaa mawe ya kusagia, usage unga; Vua utaji wako, ondoa mavazi yako, Funua mguu wako, pita katika mito ya maji. Tazama sura |