Isaya 38:11 - Swahili Revised Union Version11 Nilisema, Sitamwona BWANA, yeye BWANA, katika nchi ya walio hai; Sitamwona mwanadamu tena pamoja na hao wakaao duniani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Nilisema sitamwona tena Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya walio hai; wala sitamwona mtu yeyote tena, miongoni mwa wakazi wa ulimwengu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Nilisema sitamwona tena Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya walio hai; wala sitamwona mtu yeyote tena, miongoni mwa wakazi wa ulimwengu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Nilisema sitamwona tena Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya walio hai; wala sitamwona mtu yeyote tena, miongoni mwa wakazi wa ulimwengu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Nilisema, “Sitamwona tena Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu katika nchi ya walio hai, wala sitamtazama tena mwanadamu, wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Nilisema, “Sitamwona tena bwana, bwana katika nchi ya walio hai, wala sitamtazama tena mwanadamu, wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Nilisema, Sitamwona BWANA, yeye BWANA, katika nchi ya walio hai; Sitamwona mwanadamu tena pamoja na hao wakaao duniani. Tazama sura |