Isaya 33:4 - Swahili Revised Union Version4 Na mateka yako yatakukusanywa kama wadudu wakumbavyo, wataruka juu yake kama arukavyo nzige. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Maadui zao wanakusanya mateka, wanayarukia kama panzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Maadui zao wanakusanya mateka, wanayarukia kama panzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Maadui zao wanakusanya mateka, wanayarukia kama panzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama wafanyavyo madumadu, watu huvamia juu yake kama kundi la nzige. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama vile wafanyavyo madumadu, kama kundi la nzige watu huvamia juu yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na mateka yako yatakusanywa kama wadudu wakumbavyo, wataruka juu yake kama arukavyo nzige. Tazama sura |