Isaya 33:3 - Swahili Revised Union Version3 Makabila ya watu wamekimbia wakisikia kelele za fujo; mataifa wametawanyika ulipojiinua nafsi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kwa kishindo cha sauti yako watu hukimbia; unapoinuka tu, mataifa hutawanyika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kwa kishindo cha sauti yako watu hukimbia; unapoinuka tu, mataifa hutawanyika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kwa kishindo cha sauti yako watu hukimbia; unapoinuka tu, mataifa hutawanyika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa ngurumo ya sauti yako, mataifa yanakimbia; unapoinuka, mataifa hutawanyika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa ngurumo ya sauti yako, mataifa yanakimbia; unapoinuka, mataifa hutawanyika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Makabila ya watu wamekimbia wakisikia kelele za fujo; mataifa wametawanyika ulipojiinua nafsi yako. Tazama sura |