Isaya 33:2 - Swahili Revised Union Version2 Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asububi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Ee Mwenyezi-Mungu, utuonee huruma, kwako tumeliweka tumaini letu. Uwe kinga yetu kila siku, wokovu wetu wakati wa taabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Ee Mwenyezi-Mungu, utuonee huruma, kwako tumeliweka tumaini letu. Uwe kinga yetu kila siku, wokovu wetu wakati wa taabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Ee Mwenyezi-Mungu, utuonee huruma, kwako tumeliweka tumaini letu. Uwe kinga yetu kila siku, wokovu wetu wakati wa taabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ee Mwenyezi Mungu, uturehemu, tunakutamani. Uwe nguvu yetu kila asubuhi na wokovu wetu wakati wa taabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ee bwana, uturehemu, tunakutamani. Uwe nguvu yetu kila asubuhi na wokovu wetu wakati wa taabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asubuhi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu. Tazama sura |