Isaya 32:17 - Swahili Revised Union Version17 Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kutokana na uadilifu watu watapata amani, utulivu na usalama utadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kutokana na uadilifu watu watapata amani, utulivu na usalama utadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kutokana na uadilifu watu watapata amani, utulivu na usalama utadumu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima. Tazama sura |