Isaya 21:10 - Swahili Revised Union Version10 Ewe wangu niliyekufikicha na kukupura; Hayo niliyoyasikia kwa BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, nayatangaza kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ewe Israeli, watu wangu, enyi mliotwangwa na kupurwa kama nafaka. Sasa nimewaambieni mambo niliyoyasikia kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ewe Israeli, watu wangu, enyi mliotwangwa na kupurwa kama nafaka. Sasa nimewaambieni mambo niliyoyasikia kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ewe Israeli, watu wangu, enyi mliotwangwa na kupurwa kama nafaka. Sasa nimewaambieni mambo niliyoyasikia kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ee watu wangu, mliopondwa kwenye sakafu ya kupuria, ninawaambia kile nilichokisikia kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, kutoka kwa Mungu wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ee watu wangu, mliopondwa kwenye sakafu ya kupuria, ninawaambia kile nilichokisikia kutoka kwa bwana Mwenye Nguvu Zote, kutoka kwa Mungu wa Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ewe wangu niliyekufikicha na kukupura; Hayo niliyoyasikia kwa BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, nayatangaza kwenu. Tazama sura |