Isaya 1:10 - Swahili Revised Union Version10 Lisikieni neno la BWANA, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watawala waovu kama wa Sodoma! Sikilizeni mafunzo ya Mungu wetu enyi watu waovu kama wa Gomora! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watawala waovu kama wa Sodoma! Sikilizeni mafunzo ya Mungu wetu enyi watu waovu kama wa Gomora! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watawala waovu kama wa Sodoma! Sikilizeni mafunzo ya Mungu wetu enyi watu waovu kama wa Gomora! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Sikieni neno la Mwenyezi Mungu, ninyi watawala wa Sodoma; sikilizeni Torati ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Sikieni neno la bwana, ninyi watawala wa Sodoma; sikilizeni Torati ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Lisikieni neno la BWANA, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora. Tazama sura |