Hosea 4:16 - Swahili Revised Union Version16 Kwa maana Israeli ametenda kwa ukaidi, kama ndama mkaidi; sasa je! BWANA atawalisha kama mwana-kondoo katika mahali penye malisho mazuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Waisraeli ni wakaidi kama punda. Kwa nini basi Mungu ashughulike kuwachunga, kama kondoo kwenye malisho mapana? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Waisraeli ni wakaidi kama punda. Kwa nini basi Mungu ashughulike kuwachunga, kama kondoo kwenye malisho mapana? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Waisraeli ni wakaidi kama punda. Kwa nini basi Mungu ashughulike kuwachunga, kama kondoo kwenye malisho mapana? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Waisraeli ni wakaidi, kama ndama jike mkaidi. Ni jinsi gani basi Mwenyezi Mungu anaweza kuwachunga kama wana-kondoo katika shamba la majani? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Waisraeli ni wakaidi, kama mtamba wa ng’ombe ambaye ni mkaidi. Ni jinsi gani basi bwana anaweza kuwachunga kama wana-kondoo katika shamba la majani? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kwa maana Israeli ametenda kwa ukaidi, kama ndama mkaidi; sasa je! BWANA atawalisha kama mwana-kondoo katika mahali penye malisho mazuri. Tazama sura |