Hesabu 5:4 - Swahili Revised Union Version4 Wana wa Israeli wakafanya hivyo, wakawatoa na kuwaweka nje ya kambi; kama BWANA alivyonena na Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Waisraeli walifanya hivyo, wakawafukuza nje ya kambi. Kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose, ndivyo Waisraeli walivyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Waisraeli walifanya hivyo, wakawafukuza nje ya kambi. Kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose, ndivyo Waisraeli walivyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Waisraeli walifanya hivyo, wakawafukuza nje ya kambi. Kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose, ndivyo Waisraeli walivyofanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Waisraeli wakafanya hivyo; wakawatoa nje ya kambi. Wakafanya kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amemwelekeza Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Waisraeli wakafanya hivyo; wakawatoa nje ya kambi. Wakafanya kama vile bwana alivyokuwa amemwelekeza Musa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Wana wa Israeli wakafanya hivyo, wakawatoa na kuwaweka nje ya kambi; kama BWANA alivyonena na Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli. Tazama sura |