Hesabu 5:3 - Swahili Revised Union Version3 mtawatoa nje wote, wanaume kwa wanawake, mtawaweka nje ya kambi; ili wasizitie unajisi kambi zao, ambazo mimi naketi katikati yazo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mtawatoa nje ya kambi watu wote hawa, wanaume kwa wanawake, ili wasije wakaitia najisi kambi yangu ninamokaa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mtawatoa nje ya kambi watu wote hawa, wanaume kwa wanawake, ili wasije wakaitia najisi kambi yangu ninamokaa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mtawatoa nje ya kambi watu wote hawa, wanaume kwa wanawake, ili wasije wakaitia najisi kambi yangu ninamokaa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hii itakuwa ni kwa wote, yaani wanaume na wanawake; watoeni nje ya kambi ili wasije wakanajisi kambi yao, ambamo ninaishi miongoni mwao”. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hii itakuwa ni kwa wote, yaani, wanaume na wanawake; watoeni nje ya kambi ili wasije wakanajisi kambi yao, ambamo ninaishi miongoni mwao.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 mtawatoa nje wote, wanaume kwa wanawake, mtawaweka nje ya kambi; ili wasizitie unajisi kambi zao, ambazo mimi naketi katikati yake. Tazama sura |