Hesabu 5:21 - Swahili Revised Union Version21 hapo ndipo kuhani atamwapisha mwanamke kwa kiapo cha kuapiza, kisha kuhani atamwambia huyo mwanamke maneno haya, BWANA na akufanye wewe uwe laana na kiapo kati ya watu wako, hapo BWANA akufanyapo paja lako kupooza, na tumbo lako kuvimba; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mwenyezi-Mungu na akuadhibu hata uwe laana na apizo miongoni mwa watu wako, uwe tasa na tumbo lako livimbe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mwenyezi-Mungu na akuadhibu hata uwe laana na apizo miongoni mwa watu wako, uwe tasa na tumbo lako livimbe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mwenyezi-Mungu na akuadhibu hata uwe laana na apizo miongoni mwa watu wako, uwe tasa na tumbo lako livimbe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 hapa kuhani atamweka huyo mwanamke chini ya laana ya kiapo akisema: “Mwenyezi Mungu na awafanye watu wako wakulaani na kukukataa, wakati Mwenyezi Mungu atakapolifanya paja lako kupooza na tumbo lako kuvimba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 hapa kuhani atamweka huyo mwanamke chini ya laana ya kiapo akisema: “bwana na awafanye watu wako wakulaani na kukukataa, wakati bwana atakapolifanya paja lako kupooza na tumbo lako kuvimba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 hapo ndipo kuhani atamwapisha mwanamke kwa kiapo cha kuapiza, kisha kuhani atamwambia huyo mwanamke maneno haya, BWANA na akufanye wewe uwe laana na kiapo kati ya watu wako, hapo BWANA akufanyapo paja lako kupooza, na tumbo lako kuvimba; Tazama sura |