Hesabu 5:10 - Swahili Revised Union Version10 Tena vitu vilivyowekwa wakfu na mtu awaye yote, vitakuwa ni vya kuhani; kitu chochote mtu atakachompa kuhani, kitakuwa chake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kila kitu kilichowekwa wakfu kwa Mungu na kupelekwa kwa kuhani kitakuwa chake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kila kitu kilichowekwa wakfu kwa Mungu na kupelekwa kwa kuhani kitakuwa chake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kila kitu kilichowekwa wakfu kwa Mungu na kupelekwa kwa kuhani kitakuwa chake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kila kitu cha mtu kilichowekwa wakfu ni chake mwenyewe, lakini kile atoacho kwa kuhani kitakuwa cha kuhani.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kila kitu cha mtu kilichowekwa wakfu ni chake mwenyewe, lakini kile atoacho kwa kuhani kitakuwa cha kuhani.’ ” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Tena vitu vilivyowekwa wakfu na mtu awaye yote, vitakuwa ni vya kuhani; kitu chochote mtu atakachompa kuhani, kitakuwa chake. Tazama sura |