Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 33:5 - Swahili Revised Union Version

5 Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi, wakapiga kambi katika Sukothi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi, wakapiga kambi katika Sukothi.

Tazama sura Nakili

Hesabu 33:5
2 Marejeleo ya Msalaba  

Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi, walipata hesabu yao kama watu elfu mia sita wanaume waliokwenda kwa miguu, bila kuhesabu watoto.

Kisha wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, palipo katika mwisho wa nyika.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo