Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 33:4 - Swahili Revised Union Version

4 hapo Wamisri walipokuwa wanazika wazaliwa wa kwanza wao wote, BWANA aliokuwa amewapiga kati yao; BWANA akafanya hukumu juu ya miungu yao nayo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao Mwenyezi Mungu alikuwa amewaua kati yao, kwa kuwa Mwenyezi Mungu alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao bwana alikuwa amewaua katikati yao, kwa kuwa bwana alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 hapo Wamisri walipokuwa wanazika wazaliwa wa kwanza wao wote, BWANA aliokuwa amewapiga kati yao; BWANA akafanya hukumu juu ya miungu yao nayo.

Tazama sura Nakili

Hesabu 33:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akawapiga wazaliwa wa kwanza katika nchi, Malimbuko ya nguvu zao.

Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawaua wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi BWANA.

Sasa najua ya kuwa BWANA ni mkuu kuliko miungu yote; naam, katika jambo hilo walilowatenda kwa ujeuri.

Ufunuo juu ya Misri. Tazama, BWANA amepanda juu ya wingu jepesi, anafika Misri; na sanamu za Misri zinatikisika mbele zake, na moyo wa Misri unayeyuka ndani yake.

BWANA atakuwa wa kutisha sana kwao; kwa maana atawaua kwa njaa miungu yote ya dunia; na watu watamsujudia yeye, kila mtu toka mahali pake; naam, nchi zote za mataifa.

kwa kuwa hao wazaliwa wa kwanza wote ni wangu; katika siku ile niliyowapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri nikajiwekea wakfu wazaliwa wa kwanza wote wa Israeli, wa wanadamu na wa wanyama; watakuwa wangu; mimi ndimi BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo