Hesabu 33:6 - Swahili Revised Union Version6 Kisha wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, palipo katika mwisho wa nyika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Kisha wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, palipo katika mwisho wa nyika. Tazama sura |