Hesabu 32:14 - Swahili Revised Union Version14 Na tazama, ninyi kizazi cha watu wenye dhambi, mmeinuka badala ya baba zenu ili kuongeza tena hizo hasira kali za BWANA juu ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Na sasa, enyi kizazi cha wenye dhambi, mmezuka mahali pa wazee wenu, kuongeza tena hasira kali ya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Na sasa, enyi kizazi cha wenye dhambi, mmezuka mahali pa wazee wenu, kuongeza tena hasira kali ya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Na sasa, enyi kizazi cha wenye dhambi, mmezuka mahali pa wazee wenu, kuongeza tena hasira kali ya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya Mwenyezi Mungu kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya bwana kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Na tazama, ninyi kizazi cha watu wenye dhambi, mmeinuka badala ya baba zenu ili kuongeza tena hizo hasira kali za BWANA juu ya Israeli. Tazama sura |