Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 30:1 - Swahili Revised Union Version

1 Kisha Musa akanena na wale vichwa vya makabila ya wana wa Israeli, na kuwaambia, Neno hili ndilo aliloliagiza BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kisha Mose alizungumza na viongozi wa makabila ya Israeli, akawaambia, “Hili ndilo neno lililoamriwa na Mwenyezi-Mungu:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kisha Mose alizungumza na viongozi wa makabila ya Israeli, akawaambia, “Hili ndilo neno lililoamriwa na Mwenyezi-Mungu:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Basi, Mose akawaambia Waisraeli kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Musa akawaambia viongozi wa makabila ya Israeli: “Hili ndilo Mwenyezi Mungu analoagiza:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Musa akawaambia viongozi wa makabila ya Israeli: “Hili ndilo bwana analoagiza:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Kisha Musa akanena na wale vichwa vya makabila ya wana wa Israeli, na kuwaambia, Neno hili ndilo aliloliagiza BWANA.

Tazama sura Nakili




Hesabu 30:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akawachagua watu wenye uwezo katika Israeli yote, akawaweka wawe vichwa juu ya watu, wakuu wa maelfu, na wakuu wa mamia, na wakuu wa hamsini hamsini, na wakuu wa kumi kumi.


Musa akamwambia Haruni hayo maneno yote ya BWANA ambayo alimtuma aende nayo, na ishara hizo zote alizomwagiza.


Naye Musa akawaambia wana wa Israeli vile vile kama hayo yote BWANA alivyomwagiza Musa.


ndipo wakuu wa Israeli, vichwa vya nyumba za baba zao, wakatoa matoleo; hao ndio wakuu wa makabila, hao ndio waliokuwa juu yao waliohesabiwa;


Utakapoweka nadhiri kwa BWANA, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo