Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 3:49 - Swahili Revised Union Version

49 Basi Musa akawatoza fedha za ukombozi, hao waliozidi hesabu ya wale waliokombolewa na Walawi;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Kwa hiyo Musa akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Kwa hiyo Musa akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

49 Basi Musa akawatoza fedha za ukombozi, hao waliozidi hesabu ya wale waliokombolewa na Walawi;

Tazama sura Nakili

Hesabu 3:49
2 Marejeleo ya Msalaba  

na hizo fedha ambazo walizidi wamekombolewa kwazo utampa Haruni na wanawe.

akatwaa hizo fedha kwa wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli; shekeli elfu moja na mia tatu na sitini na tano kwa shekeli ya mahali patakatifu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo