Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 3:48 - Swahili Revised Union Version

48 na hizo fedha ambazo walizidi wamekombolewa kwazo utampa Haruni na wanawe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

48 na fedha hizo kwa ajili ya fidia ya hao waliozidi idadi yao utampa Aroni na wanawe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

48 na fedha hizo kwa ajili ya fidia ya hao waliozidi idadi yao utampa Aroni na wanawe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

48 na fedha hizo kwa ajili ya fidia ya hao waliozidi idadi yao utampa Aroni na wanawe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

48 Mpe Haruni na wanawe hizo fedha kwa ajili ya ukombozi wa idadi ya Waisraeli waliozidi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

48 Mpe Haruni na wanawe hizo fedha kwa ajili ya ukombozi wa idadi ya Waisraeli waliozidi.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

48 na hizo fedha ambazo waliozidi wamekombolewa kwa hizo utampa Haruni na wanawe.

Tazama sura Nakili

Hesabu 3:48
3 Marejeleo ya Msalaba  

utatwaa shekeli tano kwa kichwa cha kila mtu kwa hiyo shekeli ya mahali patakatifu (shekeli ni gera ishirini);

Basi Musa akawatoza fedha za ukombozi, hao waliozidi hesabu ya wale waliokombolewa na Walawi;

kisha hizo fedha za ukombozi Musa akampa Haruni na wanawe, kama neno la BWANA, kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo