Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 3:43 - Swahili Revised Union Version

43 Wazaliwa wa kwanza wote walio wanaume kwa hesabu ya majina, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, katika hao waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu ishirini na mbili na mia mbili na sabini na watatu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume kadiri ya hesabu ya majina, kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi, kufuata walivyohesabiwa, walikuwa 22,273.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume kadiri ya hesabu ya majina, kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi, kufuata walivyohesabiwa, walikuwa 22,273.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume kadiri ya hesabu ya majina, kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi, kufuata walivyohesabiwa, walikuwa 22,273.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Jumla ya hesabu ya wazaliwa wa kwanza wanaume wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walioorodheshwa kwa majina, walikuwa elfu ishirini na mbili na mia mbili na sabini na watatu (22,273).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Jumla ya hesabu ya wazaliwa wa kwanza waume wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walioorodheshwa kwa majina, walikuwa 22,273.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

43 Wazaliwa wa kwanza wote walio wanaume kwa hesabu ya majina, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, katika hao waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu ishirini na mbili na mia mbili na sabini na watatu.

Tazama sura Nakili

Hesabu 3:43
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hao wote waliohesabiwa katika Walawi, ambao Musa na Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA, kwa jamaa zao, wanaume wote kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu ishirini na mbili.

Musa akahesabu, kama BWANA alivyomwagiza, wazaliwa wa kwanza wote katika wana wa Israeli.

Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo