Hesabu 3:42 - Swahili Revised Union Version42 Musa akahesabu, kama BWANA alivyomwagiza, wazaliwa wa kwanza wote katika wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Basi, Mose akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Basi, Mose akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Basi, Mose akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Hivyo Musa akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa Waisraeli, kama Mwenyezi Mungu alivyomwamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Hivyo Musa akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa Waisraeli, kama bwana alivyomwamuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Musa akawahesabu, kama BWANA alivyomwagiza, wazaliwa wa kwanza wote katika wana wa Israeli. Tazama sura |