Hesabu 27:9 - Swahili Revised Union Version9 Tena ikiwa hana binti, mtawapa nduguze urithi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ikiwa hana binti, basi urithi huo watapewa ndugu zake wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ikiwa hana binti, basi urithi huo watapewa ndugu zake wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ikiwa hana binti, basi urithi huo watapewa ndugu zake wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ikiwa hana binti, wape ndugu zake wa kiume urithi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ikiwa hana binti, wape ndugu zake wa kiume urithi wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Tena ikiwa hana binti, mtawapa nduguze urithi wake. Tazama sura |