Hesabu 27:10 - Swahili Revised Union Version10 Na ikiwa hana ndugu, mtawapa ndugu za babaye huo urithi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Na ikiwa hana ndugu wa kiume, basi urithi wake utawaendea baba zake, wakubwa na wadogo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Na ikiwa hana ndugu wa kiume, basi urithi wake utawaendea baba zake, wakubwa na wadogo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Na ikiwa hana ndugu wa kiume, basi urithi wake utawaendea baba zake, wakubwa na wadogo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ikiwa hana ndugu wa kiume toa urithi wake kwa ndugu za baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ikiwa hana ndugu wa kiume toa urithi wake kwa ndugu za baba yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Na ikiwa hana ndugu, mtawapa ndugu za babaye huo urithi wake. Tazama sura |