Hesabu 27:8 - Swahili Revised Union Version8 Kisha utanena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Mtu akifa, naye hana mwana wa kiume, ndipo binti yake atapewa urithi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kisha waambie Waisraeli kwamba mtu yeyote akifa bila kuacha mtoto wa kiume, urithi wake atapewa binti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kisha waambie Waisraeli kwamba mtu yeyote akifa bila kuacha mtoto wa kiume, urithi wake atapewa binti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kisha waambie Waisraeli kwamba mtu yeyote akifa bila kuacha mtoto wa kiume, urithi wake atapewa binti yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Waambie Waisraeli, ‘Ikiwa mtu atakufa naye hakuacha mwana, utampa binti yake urithi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Waambie Waisraeli, ‘Ikiwa mtu atakufa naye hakuacha mwana, utampa binti yake urithi wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Kisha utanena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Mtu akifa, naye hana mwana wa kiume, ndipo binti yake atapewa urithi wake. Tazama sura |