Hesabu 26:51 - Swahili Revised Union Version51 Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli, elfu mia sita na moja, mia saba na thelathini (601,730). Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Idadi ya wanaume Waisraeli waliohesabiwa ilikuwa 601,730. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Idadi ya wanaume Waisraeli waliohesabiwa ilikuwa 601,730. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Idadi ya wanaume Waisraeli waliohesabiwa ilikuwa 601,730. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa elfu mia sita na moja mia saba na thelathini (601,730). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI51 Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli, elfu mia sita na moja, mia saba na thelathini (601,730). Tazama sura |