Hesabu 26:50 - Swahili Revised Union Version50 Hawa ndio jamaa wa Naftali kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tano na mia nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Hizo zilikuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na tano na mia nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI50 Hawa ndio jamaa wa Naftali kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na tano na mia nne. Tazama sura |