Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 26:4 - Swahili Revised Union Version

4 Fanyeni hesabu ya watu, kuanzia umri wa miaka ishirini, na zaidi; kama BWANA alivyomwagiza Musa na wana wa Israeli, hao waliotoka nchi ya Misri.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 “Hesabuni watu kuanzia na wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.” Idadi ya Waisraeli waliotoka Misri ni hii:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 “Hesabuni watu kuanzia na wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.” Idadi ya Waisraeli waliotoka Misri ni hii:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 “Hesabuni watu kuanzia na wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.” Idadi ya Waisraeli waliotoka Misri ni hii:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 “Hesabuni wanaume wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa.” Hawa ndio Waisraeli waliotoka Misri:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 “Hesabuni wanaume wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama bwana alivyomwagiza Musa.” Hawa ndio Waisraeli waliotoka Misri:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Fanyeni hesabu ya watu, kuanzia umri wa miaka ishirini, na zaidi; kama BWANA alivyomwagiza Musa na wana wa Israeli, hao waliotoka nchi ya Misri.

Tazama sura Nakili

Hesabu 26:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli walioingia Misri, Yakobo na wanawe: Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo.

Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Waisraeli.

Ilikuwa siku ile ile moja, BWANA akawatoa wana wa Israeli katika nchi ya Misri kwa majeshi yao.

BWANA akanena na Musa katika jangwa la Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri, akamwambia,

Kisha Musa na Eleazari kuhani wakanena nao katika nchi tambarare za Moabu karibu na mto wa Yordani, huko Yeriko, wakawaambia,

Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli, wana wa Reubeni; wa Hanoki, jamaa ya Wahanoki; na wa Palu, jamaa ya Wapalu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo