Hesabu 26:3 - Swahili Revised Union Version3 Kisha Musa na Eleazari kuhani wakanena nao katika nchi tambarare za Moabu karibu na mto wa Yordani, huko Yeriko, wakawaambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mose na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani, karibu na Yeriko, wakawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mose na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani, karibu na Yeriko, wakawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mose na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare za Moabu, ng'ambo ya mto Yordani, karibu na Yeriko, wakawaambia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hivyo Musa na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare ya Moabu, ng’ambo ya Yordani kutokea Yeriko, wakasema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hivyo Musa na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare ya Moabu, ng’ambo ya Yordani kutokea Yeriko, wakasema, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Kisha Musa na Eleazari kuhani wakanena nao katika nchi tambarare za Moabu karibu na mto wa Yordani, huko Yeriko, wakawaambia, Tazama sura |