Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 24:22 - Swahili Revised Union Version

22 Pamoja na haya Wakeni wataangamizwa, Hadi Ashuru atakapokuchukua mateka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Lakini mtateketezwa, enyi Wakeni. Mtachukuliwa mateka na Ashuru mpaka lini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Lakini mtateketezwa, enyi Wakeni. Mtachukuliwa mateka na Ashuru mpaka lini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Lakini mtateketezwa, enyi Wakeni. Mtachukuliwa mateka na Ashuru mpaka lini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa Ashuru atakapowachukua mateka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa Ashuru atakapowachukua mateka.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Pamoja na haya Wakeni wataangamizwa, Hadi Ashuru atakapokuchukua mateka.

Tazama sura Nakili

Hesabu 24:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;

Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.

Wana wa Shemu ni Elamu, na Ashuru, na Arfaksadi, na Ludi, na Aramu.

Mkeni, na Mkenizi, na Mkadmoni,

wakamkaribia Zerubabeli, na wakuu wa koo za mababa, wakawaambia, Na tujenge sisi nasi pamoja nanyi; kwa maana tunamtafuta Mungu wenu kama ninyi, nasi tumemtolea dhabihu tangu zamani za Esar-hadoni, mfalme wa Ashuru, aliyetupandisha mpaka hapa.

Ashuri naye amepatana nao, Wamewasaidia wana wa Lutu.

Ashuru hatatuokoa; hatutapanda farasi; wala hatutaiambia tena kazi ya mikono yetu, Ninyi ndinyi miungu yetu; maana kwako wewe wasio na baba hupata rehema.

Akatunga mithali yake akasema, Ole wao! Ni nani atakayepona, Mungu atakapofanya haya?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo