Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 24:21 - Swahili Revised Union Version

21 Kisha akamwangalia Mkeni, akatunga mithali yake, akasema, Makao yako yana nguvu, Na kiota chako kimewekwa katika jabali.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kisha Balaamu akawaangalia Wakeni, akatoa kauli hii: “Makao yenu ni salama, enyi Wakeni, kama kiota juu kabisa mwambani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kisha Balaamu akawaangalia Wakeni, akatoa kauli hii: “Makao yenu ni salama, enyi Wakeni, kama kiota juu kabisa mwambani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kisha Balaamu akawaangalia Wakeni, akatoa kauli hii: “Makao yenu ni salama, enyi Wakeni, kama kiota juu kabisa mwambani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake: “Makao yenu ni salama, kiota chenu kiko kwenye mwamba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake: “Makao yenu ni salama, kiota chenu kiko kwenye mwamba.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Kisha akamwangalia Mkeni, akatunga mithali yake, akasema, Makao yako yana nguvu, Na kiota chako kimewekwa katika jabali.

Tazama sura Nakili

Hesabu 24:21
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mkeni, na Mkenizi, na Mkadmoni,

Ndipo niliposema, Nitakufa ndani ya kiota changu, Nami nitaziongeza siku zangu kama mchanga;

Hao wana wa Mkeni, huyo shemeji yake Musa, wakakwea juu kutoka katika huo mji wa mitende, pamoja na wana wa Yuda, na kuingia hiyo nyika ya Yuda, iliyo upande wa kusini wa Aradi; nao wakaenda na kukaa pamoja na watu hao.

Sauli akawaambia Wakeni, Haya! Nendeni zenu, mkashuke ili kujitenga na Waamaleki, nisije nikawaangamiza ninyi pamoja nao; maana mliwatendea wana wa Israeli mema, walipopanda kutoka Misri. Basi hao Wakeni wakaondoka, wakajitenga na Waamaleki.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo