Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 24:23 - Swahili Revised Union Version

23 Akatunga mithali yake akasema, Ole wao! Ni nani atakayepona, Mungu atakapofanya haya?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Tena Balaamu akatoa kauli hii: “Lo! Nani ataishi, Mungu atakapofanya hayo?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Tena Balaamu akatoa kauli hii: “Lo! Nani ataishi, Mungu atakapofanya hayo?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Tena Balaamu akatoa kauli hii: “Lo! Nani ataishi, Mungu atakapofanya hayo?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Ndipo akatoa ujumbe wake: “Ole wao! Ni nani ataweza kuishi Mungu atakapofanya hili?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Ndipo akatoa ujumbe wake: “Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili?

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Akatunga mithali yake akasema, Ole wao! Ni nani atakayepona, Mungu atakapofanya haya?

Tazama sura Nakili




Hesabu 24:23
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Naamani, jemadari wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa mbele ya bwana wake, na mwenye kuheshimiwa, kwa sababu kwa mkono wake BWANA alikuwa amewapa Washami kushinda; tena alikuwa mtu hodari wa vita; lakini alikuwa mwenye ukoma.


Lakini ni nani atakayestahimili siku ya kuja kwake? Au ni nani atakayesimama atakapoonekana yeye? Kwa maana yeye ni mfano wa moto wa mtu asafishaye fedha, ni mfano wa sabuni ya mtu afuaye nguo;


Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!


Pamoja na haya Wakeni wataangamizwa, Hadi Ashuru atakapokuchukua mateka.


Lakini merikebu zitakuja kutoka pwani kwa Kitimu, Nazo zitamtaabisha Ashuru, na Eberi zitamtaabisha, Yeye naye atapata uharibifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo