Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 22:25 - Swahili Revised Union Version

25 Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajisukuma ukutani, akaubana mguu wake Balaamu, basi akampiga mara ya pili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Punda alipomwona malaika huyo wa Mwenyezi-Mungu, akajisukumiza ukutani na kuubana mguu wa Balaamu hapo. Kwa hiyo Balaamu akampiga tena huyo punda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Punda alipomwona malaika huyo wa Mwenyezi-Mungu, akajisukumiza ukutani na kuubana mguu wa Balaamu hapo. Kwa hiyo Balaamu akampiga tena huyo punda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Punda alipomwona malaika huyo wa Mwenyezi-Mungu, akajisukumiza ukutani na kuubana mguu wa Balaamu hapo. Kwa hiyo Balaamu akampiga tena huyo punda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Punda alipomwona malaika wa Mwenyezi Mungu, alijisukumiza karibu na ukuta, na kugandamiza mguu wa Balaamu ukutani. Ndipo Balaamu akampiga tena punda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Punda alipomwona malaika wa bwana, alijisukumiza karibu na ukuta, na kugandamiza mguu wa Balaamu ukutani. Ndipo Balaamu akampiga tena punda.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajisukuma ukutani, akaubana mguu wake Balaamu, basi akampiga mara ya pili.

Tazama sura Nakili

Hesabu 22:25
4 Marejeleo ya Msalaba  

Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.

Kisha malaika wa BWANA akasimama mahali penye bonde, katikati ya mashamba ya mizabibu, tena penye kitalu upande huu na kitalu upande huu.

Malaika wa BWANA akaenda mbele akasimama mahali pembamba sana, hapakuwa na nafasi ya kugeukia mkono wa kulia, wala mkono wa kushoto.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo