Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 22:24 - Swahili Revised Union Version

24 Kisha malaika wa BWANA akasimama mahali penye bonde, katikati ya mashamba ya mizabibu, tena penye kitalu upande huu na kitalu upande huu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kisha malaika huyo wa Mwenyezi-Mungu akatangulia mbele, akasimama mahali penye njia nyembamba, kati ya mashamba ya mizabibu na kuta pande zote mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kisha malaika huyo wa Mwenyezi-Mungu akatangulia mbele, akasimama mahali penye njia nyembamba, kati ya mashamba ya mizabibu na kuta pande zote mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kisha malaika huyo wa Mwenyezi-Mungu akatangulia mbele, akasimama mahali penye njia nyembamba, kati ya mashamba ya mizabibu na kuta pande zote mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu akasimama katika njia nyembamba iliyo kati ya mashamba mawili ya mizabibu, yakiwa na kuta pande zote mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Ndipo malaika wa bwana akasimama katika njia nyembamba iliyo kati ya mashamba mawili ya mizabibu, yakiwa na kuta pande zote mbili.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 Kisha malaika wa BWANA akasimama mahali penye bonde, katikati ya mashamba ya mizabibu, tena penye kitalu upande huu na kitalu upande huu.

Tazama sura Nakili

Hesabu 22:24
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na yule punda akamwona malaika wa BWANA amesimama njiani, na upanga wake mkononi mwake amekwisha kuufuta; punda akageuka upande ili kuiacha njia, akaingia shambani. Balaamu akampiga punda ili kumrejesha njiani.

Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajisukuma ukutani, akaubana mguu wake Balaamu, basi akampiga mara ya pili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo