Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 22:19 - Swahili Revised Union Version

19 Basi sasa nawasihi, kaeni hapa tena usiku huu, nipate kujua BWANA atakaloniambia zaidi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Lakini tafadhalini laleni hapa usiku huu kama wale wenzenu, nami nipate kujua atakachoniambia Mwenyezi-Mungu tena.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Lakini tafadhalini laleni hapa usiku huu kama wale wenzenu, nami nipate kujua atakachoniambia Mwenyezi-Mungu tena.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Lakini tafadhalini laleni hapa usiku huu kama wale wenzenu, nami nipate kujua atakachoniambia Mwenyezi-Mungu tena.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Mlale hapa usiku huu kama wale wengine walivyofanya, nami nitatafuta ni nini kingine Mwenyezi Mungu atakachoniambia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Mlale hapa usiku huu kama wale wengine walivyofanya, nami nitatafuta ni nini kingine bwana atakachoniambia.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Basi sasa nawasihi, kaeni hapa tena usiku huu, nipate kujua BWANA atakaloniambia zaidi.

Tazama sura Nakili

Hesabu 22:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Balaamu akajibu akawaambia watumishi wa Balaki, Hata kama Balaki angenipa nyumba yake imejaa fedha na dhahabu, siwezi kukiuka neno la BWANA, Mungu wangu, kulipunguza au kuliongeza.

Mungu akamjia Balaamu usiku, akamwambia, Kwa kuwa watu hawa wamekuja kukuita, nenda pamoja nao; lakini neno lile nitakalokuambia ndilo utakalolitenda, basi.

wakiiacha njia iliyonyoka, wakapotea, wakiifuata njia ya Balaamu, mwana wa Beori, aliyependa ujira wa udhalimu;

Na kwa tamaa yao watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; wao ambao hukumu yao tangu zamani haikawii, wala maangamizi yao hayasinzii.

Ole wao! Kwa sababu walikwenda katika njia ya Kaini, na kulifuata kosa la Balaamu pasipo kujizuia, kwa ajili ya malipo, nao wameangamia katika maasi ya Kora.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo