Hesabu 21:16 - Swahili Revised Union Version16 Kutoka huko wakasafiri kwenda Beeri; ni kisima ambacho BWANA alimwambia Musa, Uwakutanishe watu, nami nitawapa maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kutoka huko Waisraeli walisafiri mpaka Beeri; yaani kisima ambapo Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Wakusanyeni watu pamoja, nami nitawapa maji.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kutoka huko Waisraeli walisafiri mpaka Beeri; yaani kisima ambapo Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Wakusanyeni watu pamoja, nami nitawapa maji.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kutoka huko Waisraeli walisafiri mpaka Beeri; yaani kisima ambapo Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Wakusanyeni watu pamoja, nami nitawapa maji.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho Mwenyezi Mungu alimwambia Musa, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho bwana alimwambia Musa, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kutoka huko wakasafiri kwenda Beeri; ni kisima ambacho BWANA alimwambia Musa, Uwakutanishe watu, nami nitawapa maji. Tazama sura |