Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 21:17 - Swahili Revised Union Version

17 Ndipo Israeli wakaimba wimbo huu; Bubujika Ee kisima; kiimbieni;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! – Kiimbieni!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! – Kiimbieni!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Hapo Waisraeli waliimba wimbo huu: “Bubujika maji ee kisima! — Kiimbieni!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Ndipo Israeli wakaimba wimbo huu; Bubujika Ee kisima; kiimbieni;

Tazama sura Nakili




Hesabu 21:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Yasimulieni maajabu yake yote.


Ndipo walipoyaamini maneno yake, Waliziimba sifa zake.


Mwimbieni BWANA; kwa kuwa ametenda makuu; Na yajulikane haya katika dunia yote.


Kisima walichokichimba wakuu, Ambacho wakuu wa watu wakakifukua, Kwa fimbo za enzi, kwa fimbo zao. Kutoka lile jangwa wakaenda Matana;


Kuna mtu miongoni mwenu anayeteseka? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi.


Ndipo Debora, na Baraka mwana wa Abinoamu, wakaimba siku ile, wakisema;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo