Hesabu 21:15 - Swahili Revised Union Version15 Na materemko ya hizo bonde Kwenye kuteremkia maskani ya Ari, Na kutegemea mpaka wa Moabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 na mteremko wa mabonde unaofika hadi mji wa Ari, na kuelekea mpakani mwa Moabu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 na mteremko wa mabonde unaofika hadi mji wa Ari, na kuelekea mpakani mwa Moabu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 na mteremko wa mabonde unaofika hadi mji wa Ari, na kuelekea mpakani mwa Moabu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 na miteremko ya mabonde inayofika hadi makazi ya Ari, na kuegemea mpakani mwa Moabu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 na miteremko ya mabonde inayofika hadi mji wa Ari na huelekea mpakani mwa Moabu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Na materemko ya hizo bonde Kwenye kuteremkia maskani ya Ari, Na kutegemea mpaka wa Moabu. Tazama sura |