Hesabu 2:26 - Swahili Revised Union Version26 Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sitini na mbili na mia saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 62,700. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 62,700. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 62,700. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Kundi lake lina watu elfu sitini na mbili na mia saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Kundi lake lina watu 62,700. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sitini na mbili na mia saba. Tazama sura |