Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 2:25 - Swahili Revised Union Version

25 Upande wa kaskazini kutakuwa na bendera ya kambi ya Dani kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Dani atakuwa Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 “Kwa upande wa kaskazini, watapiga kambi katika makundi yao wale walio chini ya bendera ya Dani, kiongozi wao atakuwa Ahiezeri, mwana wa Amishadai,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 “Kwa upande wa kaskazini, watapiga kambi katika makundi yao wale walio chini ya bendera ya Dani, kiongozi wao atakuwa Ahiezeri, mwana wa Amishadai,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 “Kwa upande wa kaskazini, watapiga kambi katika makundi yao wale walio chini ya bendera ya Dani, kiongozi wao atakuwa Ahiezeri, mwana wa Amishadai,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Upande wa kaskazini kutakuwa na makundi ya kambi ya Dani, chini ya beramu yao. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Upande wa kaskazini kutakuwa na makundi ya kambi ya Dani, chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Upande wa kaskazini kutakuwa na bendera ya kambi ya Dani kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Dani atakuwa Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Tazama sura Nakili

Hesabu 2:25
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wa Dani; Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Katika wana wa Dani, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;

Kisha beramu ya kambi ya wana wa Dani, ambayo ilikuwa ni nyuma ya makambi yote, ikasafiri, kwa majeshi yao; na juu ya jeshi lake ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sitini na mbili na mia saba.

Na mkuu wa nyumba ya baba za jamaa za Merari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hao watapiga kambi upande wa maskani, wa kaskazini.

Siku ya kumi Ahiezeri mwana wa Amishadai, mkuu wa wana wa Dani;

tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo