Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 17:12 - Swahili Revised Union Version

12 Kisha wana wa Israeli wakanena na Musa, na kumwambia, Angalia, sisi tunakufa, tunaangamia, sote tunaangamia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Waisraeli wakamwambia Mose, “Angalia sasa! Tunaangamia! Tumekwisha! Sote tumekwisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Waisraeli wakamwambia Mose, “Angalia sasa! Tunaangamia! Tumekwisha! Sote tumekwisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Waisraeli wakamwambia Mose, “Angalia sasa! Tunaangamia! Tumekwisha! Sote tumekwisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Waisraeli wakamwambia Musa, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Waisraeli wakamwambia Musa, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Kisha wana wa Israeli wakanena na Musa, na kumwambia, Angalia, sisi tunakufa, tunaangamia, sote tunaangamia.

Tazama sura Nakili

Hesabu 17:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana tumeangamia kwa hasira yako, Na kwa ghadhabu yako tumezidiwa.

Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya BWANA.

Kwa kuwa sitashindana na watu siku zote, wala sitakuwa na hasira siku zote; maana roho ingezimia mbele zangu, na hizo nafsi nilizozifanya.

Ndipo niliposema, Ole wangu! Kwa maana nimepotea; kwa sababu mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninakaa kati ya watu wenye midomo michafu; na macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA wa majeshi.

Basi Musa akafanya hivyo; kama BWANA alivyomwagiza, ndivyo alivyofanya.

tena kwake yeye, na kizazi chake baada yake, litakuwa agano la ukuhani wa milele; kwa sababu alikuwa na wivu kwa ajili ya Mungu wake, na kuwafanyia upatanisho wana wa Israeli.

Hata hivyo, hao wana wa Kora hawakufa.

tena mmeyasahau yale maonyo, yasemayo nanyi kama kusema na wana, Mwanangu, usiyadharau maonyo ya Bwana, Wala usife moyo ukiadhibiwa naye;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo