Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 17:11 - Swahili Revised Union Version

11 Basi Musa akafanya hivyo; kama BWANA alivyomwagiza, ndivyo alivyofanya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Musa akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwamuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Musa akafanya kama bwana alivyomwamuru.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Basi Musa akafanya hivyo; kama BWANA alivyomwagiza, ndivyo alivyofanya.

Tazama sura Nakili




Hesabu 17:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na kila mara watakapowaletea shitaka toka ndugu zenu wakaao mijini mwao, kuhusu uuaji, uvunjaji wa sheria na amri, kanuni au maagizo, mtawaonya, wasiingie hatiani mbele za BWANA, mkajiliwa na ghadhabu ninyi na ndugu zenu; fanyeni haya wala hamtakuwa na hatia.


Kisha atamchinja yule mbuzi wa sadaka ya dhambi, aliye kwa ajili ya watu, na kuileta damu yake ndani ya pazia, na kwa damu hiyo atafanya kama alivyofanya kwa damu ya ng'ombe, na kuinyunyiza juu ya kiti cha rehema, na mbele ya kiti cha rehema,


naye atafanya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu, kwa sababu ya mambo machafu ya wana wa Israeli, na kwa sababu ya makosa yao, kwa ajili ya dhambi zao zote; naye atafanya vile vile kwa ajili ya hema ya kukutania, ikaayo pamoja nao katikati ya machafu yao.


Kisha hapo hiyo nyama ilipokuwa ikali kati ya meno yao, hawajaitafuna bado, hasira za BWANA ziliwaka juu ya watu, BWANA akawapiga watu kwa pigo kuu mno.


Kisha BWANA akamwambia Musa, Irudishe fimbo ya Haruni mbele ya ushahidi, ili itunzwe iwe ishara juu ya hawa wana wa maasi; ili uyakomeshe manung'uniko yao waliyoninung'unikia, ili wasife.


Kisha wana wa Israeli wakanena na Musa, na kumwambia, Angalia, sisi tunakufa, tunaangamia, sote tunaangamia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo