Hesabu 14:42 - Swahili Revised Union Version42 Msikwee, kwa kuwa BWANA hayumo kati yenu; msipigwe na kuangushwa mbele ya adui zenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Msiende huko milimani msije mkapigwa bure na adui zenu, maana, Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja nanyi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Msiende huko milimani msije mkapigwa bure na adui zenu, maana, Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja nanyi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Msiende huko milimani msije mkapigwa bure na adui zenu, maana, Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja nanyi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Msipande juu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu hayupo pamoja nanyi. Mtashindwa na adui zenu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Msipande juu, kwa kuwa bwana hayupo pamoja nanyi. Mtashindwa na adui zenu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Msikwee, kwa kuwa BWANA hayumo kati yenu; msipigwe na kuangushwa mbele ya adui zenu. Tazama sura |