Hesabu 14:41 - Swahili Revised Union Version41 Musa akawaambia, Kwa nini ninyi sasa kuyakaidi maagizo ya BWANA? Maana halitafanikiwa jambo hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Lakini Musa akasema, “Kwa nini hamtii amri ya Mwenyezi Mungu? Jambo hili halitafanikiwa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Lakini Musa akasema, “Kwa nini hamtii amri ya bwana? Jambo hili halitafanikiwa! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Musa akawaambia, Kwa nini ninyi sasa kuyakaidi maagizo ya BWANA? Maana halitafanikiwa jambo hilo. Tazama sura |