Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 14:26 - Swahili Revised Union Version

26 Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 bwana akamwambia Musa na Haruni:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

26 Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,

Tazama sura Nakili




Hesabu 14:26
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Mwamaleki na Mkanaani wakaa katika bonde; kesho geukeni, mkaende jangwani kwa njia iendayo Bahari ya Shamu.


Je! Nivumilie na mkutano mwovu huu uninung'unikiao hadi lini? Nimesikia manung'uniko ya wana wa Israeli, waninung'unikiayo.


Kwa kuwa BWANA alisema juu yao, Hapana budi watakufa nyikani. Napo hapakusalia mtu mmoja miongoni mwao, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo