Hesabu 12:2 - Swahili Revised Union Version2 Wakasema, Je! Ni kweli BWANA amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? BWANA akasikia maneno yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Waliuliza, “Je, Mwenyezi Mungu amesema kupitia Musa peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?” Naye Mwenyezi Mungu akasikia hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Waliuliza, “Je, bwana amesema kupitia Musa peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?” Naye bwana akasikia hili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Wakasema, Je! Ni kweli BWANA amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? BWANA akasikia maneno yao. Tazama sura |