Hesabu 12:13 - Swahili Revised Union Version13 Musa akamlilia BWANA, akasema, Mponye, Ee Mungu, nakusihi sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakusihi, ee Mungu, umponye.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakusihi, ee Mungu, umponye.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakusihi, ee Mungu, umponye.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Hivyo Musa akamlilia Mwenyezi Mungu akisema, “Ee Mungu, nakuomba umponye!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Hivyo Musa akamlilia bwana akisema, “Ee Mungu, nakuomba umponye!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Musa akamlilia BWANA, akasema, Mponye, Ee Mungu, nakusihi sana. Tazama sura |