Hesabu 11:2 - Swahili Revised Union Version2 Ndipo watu wakamlilia Musa; naye Musa akamwomba BWANA, na ule moto ukakoma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Watu wakamlilia Mose, naye akamwomba Mwenyezi-Mungu na moto huo ukazimika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Watu wakamlilia Mose, naye akamwomba Mwenyezi-Mungu na moto huo ukazimika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Watu wakamlilia Mose, naye akamwomba Mwenyezi-Mungu na moto huo ukazimika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Watu walipomlilia Musa, akamwomba Mwenyezi Mungu, nao moto ukazimika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Watu walipomlilia Musa, akamwomba bwana, nao moto ukazimika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ndipo watu wakamlilia Musa; naye Musa akamwomba BWANA, na ule moto ukakoma. Tazama sura |